Muqawam
IQNA - Israel ililazimika kuomba kusitisha mapigano kutokana na uwezo wa Hizbullah, amesema katibu mkuu wa harakati hiyo ya muqawama ya Lebanon.
Habari ID: 3480008 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/05
Muqawama
IQNA – Luteni Jenerali Qassem Soleimani alikuwa sauti ya umoja na haki, na hili limemfanya kuwa nembo ya milele katika fahamu za mataifa ya eneo la Asia Magharibi, amesema mchambuzi wa kisiasa wa Iraq.
Habari ID: 3480004 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/04
Mtazamo
IQNA – Mchambuzi wa kisiasa wa Palestina amesema Shahidi Jenerali Qassem Soleimani aliona kadhia ya Palestina kama suala kuu la ulimwengu wa Kiislamu, ambalo linapaswa kuungwa mkono kwa njia yoyote ile.
Habari ID: 3480000 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/03
Muqawama
IQNA-Rais Massoud Pezeshkian amesema kwamba Jamhuri ya Kiislamu itaendelea na njia iliyoanzishwa na kamanda shujaa wa kupambana na ugaidi, Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani , kwa nguvu zake zote huku akisema Shahidi Soleimani hakujali mchana wala usiku popote alipohitajika kuwatetea wanyonge/
Habari ID: 3479995 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/03
Muqawama
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesifu na kukutaja kuwa ni kwa kipekee kujitolea kwa kamanda mkuu wa Iran wa kupambana na ugaidi, Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani , ambaye aliuawa mwaka 2020 akiwa pamoja na wanajihadi wenzake katika shambulio la kigaidi la ndege isiyo na rubani ya Marekani karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Baghdad nchini Iraq.
Habari ID: 3479986 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/01
Warsha
IQNA - Kuuawa shahidi kwa makamanda wa muqawama (harakati za Kiislamu za kupambana na mabeberu na Wazayuni) kunaongeza zaidi azma ya mapambano ya kukabiliana na Wazayuni na kusambaratisha ndoto yao, afisa wa Harakati ya Jihad ya Kiislamu ya Palestina alisema.
Habari ID: 3478171 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/09
Muqawama
IQNA - Makamanda wa harakati za muqawama au mapambano ya Kiislamu Luteni Jenerali Qassem Soleimani na Abu Mahdi al-Muhandis walikuwa wapiganaji wakubwa waliopata ushindi dhidi ya ugaidi wa kimataifa.
Habari ID: 3478166 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/08
Taazia
IQNA-Wananchi wa Iran leo Ijumaa wamefanya shughuli ya mazishi ya pamoja kwa wahanga wa miripuko miwili ya kigaidi iliyotokea Jumatano katika mji wa Kerman kusini mashariki mwa nchi huku kamanda wa ngazi ya juu wa Iran akiahidi kuwasaka magaidi popote walipo.
Habari ID: 3478151 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/05
Taazia
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe maalumu kufuatia kuuawa shahidi makumi ya wafanya ziara wa Shahid Qassem Soleimani na kusisitiza kuwa, wanaotenda jinai watambue kuwa wanamapambano wa njia ya Soleimani hawawezi kuhimili na kuvumilia jinai zao.
Habari ID: 3478142 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/04
Jinai ya Kigaidi
IQNA-Watu wasiopungua 94 wameuawa shahidi na makumi ya wengine kujeruhiwa kufuatia mashambulio mawili ya kigiadi katika mji wa Kerman kusini mashariki mwa Iran. Taarifa zinasema yamkini idadi ya waliofariki na majeruhi ikaongezeka.
Habari ID: 3478141 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/03
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kupanuka kwa jina, kumbukumbu na sifa za shahidi Qassim Suleimani kunatokana na ikhlasi ya shahidi huyo.
Habari ID: 3478124 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/01
Taazia
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, leo asubuhi ameongoza Sala ya Maiti ya kuusalia mwili wa Kamanda Shahidi Sayyid Razi Mousavi pamoja na kumsomea Faatiha na kumuombea dua Shahidi huyo.
Habari ID: 3478105 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/28
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, miongoni mwa kazi kubwa zilizofanywa na Luteni Jenerali Shahid Qassem Soleimani , aliyekuwa Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), ni kuhuisha na kutia nguvu kambi ya muqawama au mapambano.
Habari ID: 3476343 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/01
Shahidi Qassem Soleimani
TEHRAN (IQNA) - Msafara wa Qur'ani uliopewa jina la 'Luteni Jenerali Qassem Soleimani ', aliyekkuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), umezinduliwa kuadhimisha kumbukumbu ya kuuawa shahidi kamanda huyo aliyeongoza vita dhidi ya ugaidi katika eneo la Asia Magharibi.
Habari ID: 3476328 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/30
Rais wa Iran
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, mtazamo wa Imam Khomeini (MA) kwa wananchi haukuwa mtazamo wa kiheshima tu, kwa sababu aliwaamini kiudhati wananchi na akisisitiza kuwa kutokana na imani juu ya Mwenyezi Mungu, kuwatumikia wananchi kunamfanya mtu awe karibu na Mwenyezi Mungu
Habari ID: 3475668 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/23
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi amesema, aliyekuwa rais wa Marekani Donald Trump ni muuaji na mhalifu mkuu wa mauaji ya kamanda Qassem Suleimani, kwa hivyo inapasa ashtakiwe na kuhukumiwa kuuawa kwa kisasi.
Habari ID: 3474762 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/03
TEHRAN (IQNA)- Maelfu ya wananchi wa Iraq wamekusanyika katika sehemu ilipotokea jinai ya kumuua kigaidi Luteni Jenerali Qasem Soleimani karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Baghdad kwa mnasaba wa tarehe 3 Januari, na kumbukumbu ya mwaka wa pili wa tangu kutokea jinai hiyo.
Habari ID: 3474761 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/03
TEHRAN (IQNA)- Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inataka Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lipitishe azimio la kulaani kitendo cha Marekani cha kumuua kamanda wa Iran aliyeongoza vita dhidi ya ugaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani ili kwa njia hiyo kulinda amani na kimataifa na haki za binadamu.
Habari ID: 3474756 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/02
Sayyid Hassan Nasrallah
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema Shahidi Qassem Soleimani hakuwa ni mtetezi wa Waislamu wa madhehebu ya Shia pekee bali aliwatetea Waislamu wote na hata wasiokuwa Waislamu wakiwemo Wakristo na alijitolea muhanga kwa ajili yao.
Habari ID: 3473521 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/03
TEHRAN (IQNA) - kitabu cha maisha ya Shahidi Qassem Soleimani , alichoandika yeye mwenyewe kiitwacho "Nilikuwa Sihofu Chochote" kimezinduliwa leo.
Habari ID: 3473519 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/03